KUHUSU IDARA YA VIJANA, CHAPLENSIA NA MUZIKI
Vijana na wakumbuke kwamba wanapaswa kujenga tabia kwa ajili ya umilele, na kwamba Mungu anawahitaji wafanye kwa ubora zaidi. Wale walio na uzoefu mkubwa zaidi wawachunge walio wachanga zaidi; na wanapowaona wamejaribiwa, wawaweke kando, na waombe nao na kuombe kwa ajili yao.Ellen G White, Mashauri kwa Vijana.
Vijana wa Kanisa la Waadventista Wa Sabato wanathaminiwa sio tu kama kanisa la wakati ujao bali kama wanajumuiya muhimu sana wa kanisa la wakati huu. Idara hii muhimu husaidia kuandaa miongozo na programu mbalimbali ili kusaidia na kuwashauri vijana. Idara hii pia kupitia huduma za chaplensia husimamia utoaji wa mahitaji mbalimbali ya kiroho kwa makundi mbalimbali ya watu kama wanafunzi, wanajeshi na kadhalika.

MCH. ALKADO KAHIGIRO
MKURUGENZI WA VIJANA CHAPLENSIA NA MUZIKI – LTF