Lake Tanganyika Field ni sehemu ya Misheni ya Muungano wa Kusini mwa Tanzania katika Kitengo cha Afrika Mashariki na Kati ya Waadventista Wasabato.

UTUME WETU

Utume wa Kanisa la Waadventista wa Sabato  ni kuwafanya watu wote wawe wanafunzi  wa Yesu, kutangaza Injili ya milele katika muktadha wa Ujumbe wa Malaika watatu wa Ufunuo 14:6-12, na kuuandaa ulimwengu kwa marejeo ya Kristo yaliyo karibu.

MBINU YETU

Kanisa likiongozwa na Biblia na Roho Mtakatifu, Waadventista Wasabato hufuata misheni ya kufanya wanafunzi kupitia kuishi kama Kristo, kuponya, kutumikia, kutangaza, kufundisha, na mafunzo.

MAONO

Kwa kupatana na ufunuo wa Biblia, Waadventista Wasabato huona kama kilele cha mpango wa Mungu urejesho wa uumbaji Wake wote kwenye upatano kamili na mapenzi yake makamilifu na haki.